Dodoma

Mambo mazuri chuo cha ufundi Dom

UJENZI  wa Chuo cha Ufundi Dodoma utaongeza nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa inayohitajika kwenye uzalishaji katika maeneo mbalimbali nchini.…

Soma Zaidi »

Wanavijiji washauriwa kuchangamkia umeme wa REA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Dodoma limewataka wananchi wa vijijini kuchangamkia fursa ya kuunganishiwa umeme kwa bei nafuu…

Soma Zaidi »

Mwakitalima afafanua hali kwa wanaopoteza choo

MTU mmoja ambaye hana choo hupoteza takribani saa 58 kwa mwaka kutafuta muda wa kujisitiri. Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Afya,…

Soma Zaidi »

Bunge: Wakandarasi miradi mikubwa waisaidie jamii (ya kimkakati)

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri serikali ielekeze wakandarasi wanaotekeleza miradi mikubwa ya maendeleo waihudumie jamii ili wananchi…

Soma Zaidi »

Tamasha la kumwombea Samia, Tanzania kutua Arusha

TAMASHA la kuiombea nchi na kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan linatarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu jijini Arusha ambapo wasanii…

Soma Zaidi »

Shujaa Majaliwa ‘kuoga’ fedha za wabunge

Mbunge Hamis Kigwangala ameomba mwongozo bungeni akitaka wabunge wakatwe kiasi cha Sh 50,000 kutoka kwenye posho zao za leo kwa…

Soma Zaidi »

HEET, ‘Samia Scholarship’ kuongeza udahili elimu ya juu

Maboresho ya miundombinu yanayoendelea katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu chini ya mradi wa mapinduzi ya Mradi…

Soma Zaidi »

Wapongeza sheria kulinda taarifa binafsi

VIONGOZI wa vyama vya siasa na wananchi wameipongeza serikali kuwasilisha bungeni na bunge kupitisha Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa…

Soma Zaidi »

Tanzania yaweka historia idadi ya redio, luninga

SEKTA ya utangazaji nchini Tanzania imeendelea kukua kwa ongezeko la vituo vya utangazaji wa televisheni na redio, redio na televisheni…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu awasilisha ripoti ya moto Kilimanjaro, atoa mkakati

Waziri MKuu amesema kuwa zoezi la kuzima moto uliozuka katika hifadhi ya Mlima Kilimajaro limefanikiwa kwa kiasi kikubwa huku akishukuru…

Soma Zaidi »
Back to top button