Dodoma

Wavamizi maeneo ya hifadhi waonywa Geita

SERIKALI wilayani Geita mkoani hapa, imetoa onyo kali kwa wananchi wanaoendelea kukiuka kanuni na sheria za mazingira kwa kuendesha shughuli…

Soma Zaidi »

Wanawake ni asilimia 51 Tanzania

WAKATI idadi ya Watanzania wote ni 61,741,120, idadi ya wanawake ni 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na…

Soma Zaidi »

Idadi ya Watanzania ni 61,741,120

Idadi ya Watanzania ni 61,741,120. Hayo yamebainishwa na Rais Samia Suluhu Hassan, muda mfupi uliopita wakati akitangaza matokeo ya  sensa…

Soma Zaidi »

‘Wataalamu vyuo vikuu wamehusishwa matokeo ya sensa’

MTAKWIMU  Mkuu wa Serikali Dk Albina Chuwa, amesema matokeo ya sensa yanayotangazwa leo Oktoba 31,2022 yamefanyiwa kazi kitaalamu kwa asilimia…

Soma Zaidi »

Dodoma kumenoga matokeo ya sensa

RAIS Samia Suluhu Hassan tayari amewasili Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kutangaza matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka…

Soma Zaidi »

Walioondolewa kwa vyeti feki kulipwa michango yao

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia  watumishi wa umma waliondolewa kazini kwa sababu ya vyeti feki, walipwe michango yao waliyochangia kwenye…

Soma Zaidi »

Walimu wengi watoro

TUME ya Utumishi wa Walimu (TSC) imetakiwa kuwachukulia hatua walimu wanaokiuka maadili, vitendo vya utovu wa nidhamu na kudhibiti utoro.…

Soma Zaidi »

Matokeo mtihani wa uwakili kuchunguzwa

SERIKALI imeunda kamati ya watu saba itakayochunguza sakata la matokeo ya mtihani wa uwakili katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria…

Soma Zaidi »

DUWASA yafanya kweli maji Nzuguni

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), inaendelea na uchimbaji wa visima na tayari imechimba visima vitano katika…

Soma Zaidi »

Mikoa 14 yaagizwa kuhifadhi chakula

MIKOA 14 pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba itakuwa na mvua za vuli chini ya wastani hivyo wananchi wametakiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button