Tanzania

Ushindani wa madini mkakati waipa Tanzania fursa

TANZANIA inaendelea kuwa na nafasi muhimu katika mnyororo wa kimataifa wa upatikanaji wa madini mkakati, hali inayofungua fursa kubwa za…

Soma Zaidi »

Ushirikiano kuimarisha mapambano usafirishaji haramu wa binadamu

DAR ES SALAAM: Tanzania na Misri zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na magendo ya…

Soma Zaidi »

Serikali yaendelea kusisitiza tahadhari ya El Nino

DODOMA: WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amezitaka mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuchukua…

Soma Zaidi »

Watanzania waaswa kujilinda dhidi ya utapeli wa fedha kwa simu

DAR ES SALAAM: WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika matumizi ya huduma za fedha kwa njia ya simu ili kujilinda dhidi…

Soma Zaidi »

IPU yaibua fursa bidhaa za asili

ARUSHA: WAFANYABIASHARA wa bidhaa za asili jijini Arusha wameeleza kuwa ujio wa wajumbe wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa…

Soma Zaidi »

Dk Mwigulu asimikwa kuwa Kanoni Mlei Kanisa Anglikana Tanzania

TANGA; Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa…

Soma Zaidi »

Mradi wa Bwawa la Kidunda wafikia asilimia 70

MOROGORO. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amesema ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, unaogharimu Sh bilioni 336,…

Soma Zaidi »

‘Benki zisiogope kukopesha wachimbaji madini’

GEITA: Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amezitaka benki na taasisi za fedha nchini kuandaa bidhaa na…

Soma Zaidi »

AFCON yafungua fursa mpya utalii Tanzania

DAR ES SALAAM: Tanzania imeendelea kutumia fursa ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kujitangaza kimataifa kupitia kampeni…

Soma Zaidi »

Kadogosa ataka ushirikiano kuimarisha ujenzi

DODOMA: WAZIRI wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema atashirikiana kwa karibu na viongozi na watumishi wa wizara hiyo kuhakikisha miradi inayotekelezwa…

Soma Zaidi »
Back to top button