Tanzania

Shule zatakiwa kuweka kipaumbele Tehama

KAGERA: Serikali imezitaka shule nchini kuweka kipaumbele kwenye mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa wanafunzi wao ili…

Soma Zaidi »

Mwenge wa Uhuru watua Kagera

MULEBA: Mkoa wa Geita umekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Kagera katika hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Nyakabango, Wilaya…

Soma Zaidi »

Elimu ya uwekezaji yawaibua wananchi Karagwe

WANANCHI wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera wamepata elimu kuhusu umuhimu wa uwekezaji kupitia mifuko ya pamoja, huku wahitimu wa…

Soma Zaidi »

Wito watolewa kudhibiti mifugo inayoharibu mashamba

MTWARA: VIONGOZI mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ikiwemo watendaji kata wametakiwa kudhibiti uvamizi wa mifugo inayoingia kwenye maeneo…

Soma Zaidi »

Mwakioja atekeleza ahadi, akabidhi pampu ya maji Lanzoni

TANGA: MBUNGE wa Jimbo la Mkinga, Twaha Mwakioja, ametekeleza ahadi yake baada ya kukabidhi pampu ya maji kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Mahindi kilo 335,238 yauzwa mnada wa kwanza kidijitali

RUKWA: Wizara ya Kilimo kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), imeendesha mnada wa kwanza wa mahindi…

Soma Zaidi »

Kagera: Mwenge wa Uhuru kuzindua miradi ya bil 23.7/-

KAGERA: Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 unatarajiwa kuzindua, kufungua, kutembelea kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi…

Soma Zaidi »

Tanzania yasisitiza usimamizi maeneo ya malisho

ULAANBAATAR: Tanzania imesisitiza umuhimu wa kuimarisha usimamizi endelevu wa maeneo ya malisho na rasilimali za udongo, huku ikieleza kuwa ukame,…

Soma Zaidi »

Madiwani Tarime watakiwa kutanguliza maslahi ya wananchi

MARA: MKUU wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele, amewataka madiwani na watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 1,700 Bagaza wafaidika msaada wa mahindi, sukari

GEITA: TAASISI ya Mapung’o Foundation imetoa msaada wa magunia 30 ya mahindi na kilo 250 za sukari kwa Shule ya…

Soma Zaidi »
Back to top button