Tanzania

Serikali kutokomeza changamoto watoto wa mitaani

MTWARA: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk Doroth Gwajima amesema serikali inaendelea kuhakikisha inatokomeza changamato…

Soma Zaidi »

Washauriwa kutumia fursa za mazao kuanzisha viwanda vidogo

JUKWAA la Ushirika la Mkoa wa Shinyanga limewakutanisha vyama vya ushirika 299 huku vikishauriwa kutumia fursa za mazao yaliyopo kuanzisha…

Soma Zaidi »

Wazabuni wanolewa matumizi ya moduli mfumo wa NeST

MAMLAKA  ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea na zoezi la kuwajengea uwezo wazabuni kuhusu matumizi ya moduli ya…

Soma Zaidi »

Chalamila ataka barabara Ubungo-Kimara ikamilike haraka

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Morogoro kipande cha Ubungo -Kimara kukuongeza…

Soma Zaidi »

Washindi CRDB kutembelea hifadhi ya Serengeti

WASHINDI wa Benki ya CRDB kupitia kampeni ya “Tembo Card ni Shwaa ” wanakwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuona…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

To day we look for the two swahili word which is ingia and imara,it’s original and how to use The…

Soma Zaidi »

Chalamila ataka miradi Ubungo ikamilike kwa wakati

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya…

Soma Zaidi »

Bunge laipongeza serikali, Ulega kwa usafiri kurejea Kusini

BUNGE limeipongeza Serikali na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kwa kuchukua hatua za haraka kurejesha mawasiliano kwenye barabara ya Kusini.…

Soma Zaidi »

Mzee wa miaka 80 ashukuru kujengewa nyumba

“CHA kuwapeni mimi sina, Mungu atawalipa” maneno ya mzee Hamisi Seleman mkazi wa Mtwara Mjini, mkoani Mtwara baada ya kujengewa…

Soma Zaidi »

Dk Mpango mgeni rasmi mkutano wadau wa siasa Arusha

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa kisiasa ulioandaliwa na Chama cha…

Soma Zaidi »
Back to top button