Tanzania

Wakazi Chilimba waishukuru serikali ujenzi shule mpya

MTWARA: WAKAZI wa kijiji cha Chilimba kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wameishukuru serikali kwa kuwaletea ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Makalla asisitiza ushirikiano mapambano dhidi ya rushwa

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amesema mapambano dhidi ya rushwa hayawezi kuachiwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana…

Soma Zaidi »

Ajali ya daladala yaua 4, yajeruhi 46

PWANI; Basi la abiria ‘daladala’ limepinduka eneoo la Kona ya Kinyanyiko, Barabara ya Pugu-Kisarawe, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na…

Soma Zaidi »

Dk Kijaji akagua miradi ya Sh bilioni 110.4 Kagera

KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii na Mlezi wa Mkoa wa Kagera, Dk Ashatu Kijaji, amehitimisha ziara ya siku tano…

Soma Zaidi »

Prof Mkumbo aunga mkono juhudi za THRDC

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amepongeza Mtandao wa Watetezi wa Haki…

Soma Zaidi »

Kampuni yashinda tuzo Tehama

DAR ES SALAAM: Kampuni ya Mainstream Group Limited imeshinda tuzo mbili katika Tuzo za Tehama Awards 2026, ikiwemo nafasi ya…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Tanzania watimkia India masomoni

DAR ES SALAAM: Mamia ya wanafunzi  wanatarajia kwenda masomoni kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala…

Soma Zaidi »

Helios Towers yaipiga ‘jeki’ maabara shule ya umma Bukoba

BUKOBA, KAGERA: Kampuni ya Helios Towers imezindua rasmi maabara ya kisasa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Shule…

Soma Zaidi »

Miaka 15 ya mgogoro wa ardhi, serikali yaingilia kati

ARUSHA: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Mmuya, amewataka wananchi wa Monduli na Simanjiro kufafanua kwa…

Soma Zaidi »

Serikali yapongeza elimu ya vipimo kwa watoto

DODOMA: NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Denis Londo, amepongeza Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kwa mpango wake wa kuwajengea…

Soma Zaidi »
Back to top button