Tanzania

Salome aitaka PBPA kuimarisha elimu kwa umma

ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, umeutaka Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kuendelea kuimarisha utoaji wa elimu…

Soma Zaidi »

Sekta ya maua yapata msukumo mpya Tanzania

DAR ES SALAAM: Mwandaaji wa East Onesho la Africa Flower Expo, Esther Moses Nassari, amesema maonesho hayo yanayotarajiwa kufanyika kwa…

Soma Zaidi »

Walimu Kilimanjaro walivyopewa mafunzo teknolojia Akili Unde

KILIMANJARO; Wakati Unde (AI) na teknolojia nyingine za kidijitali zikizidi kuwa sehemu ya maisha ya wanafunzi, walimu 215 wa shule…

Soma Zaidi »

Dk. Biteko anogesha tamasha kizimkazi

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dk. Doto Mashaka Biteko, amesema Mashindano ya…

Soma Zaidi »

Vyama vya wafanyakazi, mashirikisho wanolewa Dira 205

MOROGORO: Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano kupitia kitengo cha Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na Waaajiri imetoa…

Soma Zaidi »

IAEA, TAEC kusafirisha mabaki vyanzo vya mionzi

DAR ES SALAAM; SHIRIKA la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), kwa kushirikiana na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania…

Soma Zaidi »

Kafulila kuongoza mdhahara nafasi ya PPP katika maendeleo

ARUSHA: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kinatarajiwa kufanya mhadhara wa umma utakaolenga…

Soma Zaidi »

Walimu wajengewa uwezo teknolojia kufundishia

KILIMANJARO; Walimu 215 kutoka wilaya mbalimbali za Mkoa wa Kilimanjaro wamepatiwa mafunzo yanayolenga kuongeza uwezo wao wa kutumia teknolojia na…

Soma Zaidi »

UCSAF kufunga intaneti ya bure vituo vya afya

GEITA; SERIKALI kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeanza kutekeleza mradi wa huduma ya intaneti ya bure kwenye maeneo…

Soma Zaidi »

Serikali kuweka mazingira wezeshi elimu

MTWARA: SERIKALI imesema itahakikisha inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi ili wayafikie maendeleo ikiwemo suala zima la elimu. Akizungumza mkoani…

Soma Zaidi »
Back to top button