Tanzania

Kafulila apongezwa mihadhara yenye tafiti za kina

DAR ES SALAAM: Mhadhiri wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) Jackson Muhoho, ameitaja mihadhara inayotolewa vyuoni na Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Miradi ya bil 18/- kupitiwa na mwenge uhuru Shinyanga

SHINYANGA: MKOA wa Shinyanga umeupokea Mwenge wa Uhuru ambao utapitia, kuzindua na kuweka Jiwe la Msingi miradi 45 yenye thamani…

Soma Zaidi »

 NACTEVET yaridhishwa maandalizi mashindano ya ujuzi

TANGA: MAANDALIZI ya Mashindano ya Ujuzi Kitaifa (WorldSkills Tanzania 2026) yanayotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara mkoani…

Soma Zaidi »

TICD yaingiza moduli za PPP katika mitaala ya mafunzo

ARUSHA: Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imefanya maboresho ya kimkakati katika mifumo yake ya mafunzo kwa kuingiza rasmi…

Soma Zaidi »

VETA, VTA kuendeleza ushirikiano mafunzo bora nchini

ZANZIBAR: MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeahidi kuendeleza ushirikiano na Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar…

Soma Zaidi »

Rais Samia aikabidhi cheti cha shukrani NSSF Tamasha la Kizimkazi

ZANZIBAR; Rais wa  Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan,  Agosti 14, 2026, amemkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi…

Soma Zaidi »

MsingiTek rasmi Manyara kuwezesha wanafunzi kujifunza KKK

Manyara: Zaidi ya wanafunzi 24,000 katika Mkoa wa Manyara wanatarajiwa kunufaika na MsingiTek, programu ya kujifunza kwa kutumia vishikwambi inayolenga…

Soma Zaidi »

Wawili jela miaka 30 kila mmoja kwa ubakaji

MBEYA; Mahakama ya Wilaya ya Chunya imewahukumu watu wawili kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja baada ya kutiwa hatiani…

Soma Zaidi »

Kapinga azindua mabweni mawili Mtwara Girls

MTWARA: WAZIRI wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga, amezindua mradi wa ujenzi wa mabweni mawili katika Shule ya Sekondari ya…

Soma Zaidi »

TARI Naliendele yatakiwa kutumia vifaa vipya kwa ufanisi

MTWARA: WATAALAMU wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI)  Naliendele mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kufanya vizuri kazi ya utafiti ili…

Soma Zaidi »
Back to top button