Tanzania

Kesi ya Besigye sasa mahakama ya kiraia

SERIKALI ya Uganda imetangaza kuiondoa kesi dhidi ya mpinzani, Kizza Besigye kutoka mahakama ya kijeshi na kuihamisha kesi hiyo kwenye…

Soma Zaidi »

Mvua yaharibu miche ya kahawa Mbozi

MVUA iliyoambatana na upepo mkali pamoja na mawe imeharibu zaidi ya miche 100,000 ya zao la kahawa pamoja na mazao…

Soma Zaidi »

Tanzania yaimarika tiba za kibingwa za moyo

MABORESHO ya sekta ya afya nchini yanayoendelea kufanywa yameleta mageuzi katika matibabu yakiwemo magonjwa ya moyo. Katika kipindi cha kuanzia…

Soma Zaidi »

Yametimia Bwawa la Nyerere

PWANI; SERIKALI imesema utekelezaji wa mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asilimia 99.8. Msemaji Mkuu…

Soma Zaidi »

Mufti aombwa kuingilia migogoro ya ukewenza

OFISI ya Mufti imetakiwa kutoa elimu zaidi kwa wanaume kuhusu ndoa za wake zaidi ya mmoja kuepusha migogoro inayojitokeza mara…

Soma Zaidi »

DC Mwenda aipongeza Iramba ongezeko bajeti

SINGIDA:MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Mwenda ameridhishwa na kuipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kwa kupitisha bajeti…

Soma Zaidi »

Wafundi watakiwa kutoa taarifa changamoto NeST

MAFUNDI wanaopata changamoto ya kuomba zabuni za ujenzi kwa kutumia mfumo wa kieletroniki wa manunuzi ya umma (NeST) wameagizwa kutoa…

Soma Zaidi »

Elimu ya malezi yatakiwa Mtwara

BAADHI ya watendaji katika halmashauri mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuhakikisha elimu ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto…

Soma Zaidi »

Madiwani Tanga wapitisha rasimu bajeti ya bil 83.3/- 2025/2026

TANGA: BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha Rasimu ya Bajeti ya Sh bilioni 83.3 kwa mwaka…

Soma Zaidi »

Makonda ataka uhamasishaji upandaji miti

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza mamlaka zinazohusika na utoaji wa vibali vya ujenzi ikiwemo watu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button