Zanzibar

Dk Mwinyi ajivunia amani, ustawi wananchi

  RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatekeleza kwa vitendo dhana ya mapinduzi ya kiuchumi kwa kuwawezesha wananchi…

Soma Zaidi »

Uchumi wapaa, pato lakua Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema mafanikio yaliyopatikana visiwani humo katika miaka 61 sasa yametokana na Mapinduzi ya Zanzibar,…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi aongoza Baraza la Mapinduzi Pemba

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi 33 wanaotumikia adhabu za makosa yoyote katika Chuo cha Mafunzo…

Soma Zaidi »

SMZ kujenga kilometa 300 barabara za lami

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali imeamua kuongeza idadi ya barabara zitakazojengwa kwa kiwango cha lami hadi kufikia…

Soma Zaidi »

BASHUNGWA AITAKA IDARA YA UHAMIAJI KUTOA HUDUMA NZURI WA WAGENI, KUCHOCHEA UTALII.

ZANZIBAR: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea…

Soma Zaidi »

UWT yatoa cherehani kwa wajasiriamali Pemba

PEMBA: UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) umekabidhi cherehani kumi kwa wanawake wajasiriamali wanaojishughulisha na shughuli za ushonaji wa nguo katika…

Soma Zaidi »

Mwinyi: SMZ imevuka lengo la Ilani ujenzi wa barabara

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imevuka lengo la Ilani ya…

Soma Zaidi »

Mwinyi: SMZ itaendelea kuweka mazingira mazuri uchumi buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa…

Soma Zaidi »

SMZ yavuka malengo ya Ilani viwanja vya michezo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa Ilani ya Uchaguzi ilieleza kufanyika…

Soma Zaidi »
Back to top button