Zanzibar

Benki kusaidia ujenzi chuo cha ubaharia

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imekubali kusaidia ujenzi wa Chuo cha Ubaharia ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kwenda…

Soma Zaidi »

SMZ yahimiza upandaji miti ufukweni

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imewataka wananchi kuotesha miti ya aina mbalimbali ikiwamo mikoko pembezoni mwa bahari kukabili mabadiliko…

Soma Zaidi »

SMZ yatoa bil 36/- kuwezesha uchumi wa buluu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa shilingi bilioni 36 kuwezesha wavuvi wadogo, wakulima wa mwani, wafugaji wa kaa, wafugaji…

Soma Zaidi »

Serikali yaagiza nyumba ivunjwe Z’bar kupisha njia

NAIBU Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba…

Soma Zaidi »

SMZ yataja vipaumbele 5 uchumi wa buluu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ina vipaumbele vitano katika sera ya uchumi wa buluu ili kuimarisha uchumi na…

Soma Zaidi »

Walioiba fedha Z’bar kukiona, ZAEC kufumuliwa

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema watendaji wote wa serikali waliotajwa kwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aziita kampuni za bima kwenye miradi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali yake inayakaribisha mashirika ya bima yaende Zanzibar kuwekeza kwenye miradi. Dk Mwinyi…

Soma Zaidi »
Back to top button