Year: 2022

Jamii

Mvua yageuka fursa mto wa Mbu

WATUMIAJI  wa barabara ya kwenda Mto wa Mbu hadi Makuyuni wamesimama kwa saa kadhaa kusubiri maji kupungua ili kupita huku…

Soma Zaidi »
Madini

Helium One kuanza kuchimba visima zaidi 2023

KAMPUNI ya Helium One Global Tanzania imepanga kuanza kuchimba visima zaidi nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka ujao…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Twitter kufanya mabadiliko mengine tena

TWITTER imesema inatarajia kuongeza kipengele kipya kwenye jukwaa hilo kitakacho onesha idadi ya watu waliopita na kuona chapisho (tweet) mtumiaji…

Soma Zaidi »
Africa

Mtanzania adakwa na Dawa za Kulevya Afrika Kusini

MAMLAKA ya kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Afrika Kusini imemkamata Ahmadi Mbwana Chonde (50) ambaye ni raia wa Tanzania akiwa…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU: Desemba 22, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Desemba 22, 2022

Soma Zaidi »
Dodoma

EBARR yasaidia upimaji mipaka Simanjiro

Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kupitia Mifumo Ikolojia (EBARR), unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais umewezesha upimaji wa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Hamasisheni umuhimu wa kuchukua hatimiliki za ardhi’

NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete, amewataka Makamishna wasaidizi wa ardhi nchini kufanya uhamasishaji kwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Phiri alindwe kwa namna gani?

NIMEZUNGUKA kwenye page tofauti za wadau mbalimbali wa mpira wa miguu, wakiwemo wachambuzi mahiri nchini nimekutana na mjadala kuhusu mshambuliaji…

Soma Zaidi »
Jamii

Walinzi 3 wauawa wakiwa lindo

WALINZI watatu wa kampuni binafsi ya ulinzi wameuawa kwa kupigwa na ubao kichwani, wakati wakiwa lindo katika eneo la Mtaa…

Soma Zaidi »
Africa

UN kusaidia watu milioni 7 wanaokabiliwa na majanga

Watu million 6.8 walioko hatarini katika majanga mbalimbali watafaidika na mpango wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kupewa msaada, ili…

Soma Zaidi »
Back to top button