Year: 2022

Dodoma

Warejesha mahari kuokoa maisha ya watoto

MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya ,amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri…

Soma Zaidi »
Kanda

Ofisa Mipango atuhumiwa kunajisi mtoto kwenye gari

POLISI mkoani Katavi, inamshikilia Ofisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Dickson Mwenda (37), kwa tuhuma za kunajisi…

Soma Zaidi »
Biashara

Kagera wapewa muongozo miche bora ya kahawa

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, ametoa wito kwa halmashauri zote  mkoani Kagera, kuhakikisha zinatenga asilimia 20 itokanayo na …

Soma Zaidi »
Kanda

Wenye ulemavu waishukuru serikali utaratibu sensa

WALEMAVU wa viungo mkoani Mtwara, wameishukuru serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka utaratibu mzuri ambao umewawezesha kushiriki…

Soma Zaidi »
Kanda

Karani wa sensa avamiwa Katavi, aporwa kitendea kazi

KARANI wa Sensa Kata ya Majimoto,  Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Kenan Kasekwa, amevamiwa usiku wa kuamkia leo…

Soma Zaidi »
Kanda

Wachinjiwa nyumbu, pundamilia sensa Karatu

JAMII ya Wahadzabe wilayani Karatu, mkoani Arusha, wamechinjiwa pundamilia pamoja na nyumbu, ili wawepo kwenye makazi yao wakati makarani wa…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: UN yaipongeza Tanzania zoezi la Sensa kidijiti

SHIRIKA la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa limeipongeza Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Mtakwimu Mkuu kwa…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: DC aridhishwa na zoezi la Sensa Mpanda

MKUU wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf amesema hadi mchana wa leo zoezi la Sensa linaendelea vizuri katika Wilaya hiyo.…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: Bashungwa ataka wananchi kutoa ushirikiano kwa makarani

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wananchi kuendelea…

Soma Zaidi »
Infographics

SENSA2022: Ujumbe wa Sensa kwenye Katuni

Soma Zaidi »
Back to top button