Year: 2023

Michezo na Burudani

Dk Ndumbaro apokea hati uwanja utakaopigwa Afcon

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth Jijini Arusha, eneo ambalo litajengwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Hakuna miili zaidi iliyopatikana Hanang”

HANANG, Manyara: SERIKALI hakuna miili zaidi iliyopatikana na hivyo idadi ya miili inabakia kuwa 89 (Watu wazima 50: wanaume 21…

Soma Zaidi »
Urithi

“fanyeni tafiti za masuala ya malezi na maadili”

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amevitaka vyuo vinavyotoa elimu kuhusu masuala ya Ustawi wa Jamii nchini vifanye mapitio…

Soma Zaidi »
Uchumi

Bashe aahidi neema kwa wakulima nchini

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani katika sekta ya kilimo kutumia teknolojia za kisasa…

Soma Zaidi »
Fedha

BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

DAR ES SALAAM: BENKI Kuu  ya Tanzania (BOT) imezindua rasmi mtaala wa wakufunzi wa elimu ya fedha nje ya mfumo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali ya pikipiki yaua wawili Mtwara

MTWARA: WATU wawili wamekufa baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kuanguka.   Akitoa taarifa hiyo leo kwa waandishi…

Soma Zaidi »
Biashara

Chalamila: TRA toeni elimu kwa mlipa kodi

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya oparesheni…

Soma Zaidi »
Africa

Umuhimu Mfuko wa Upotevu, Hasara  Afrika kukabili uharibifu wa mazingira

NOVEMBA 30, 2023 Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) ulianza Dubai, Umoja wa Falme za…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Umeme maporomoko Rusumo wafikia asilimia 99.9

MWANZA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kuta Tunisia zaporomoka na kuua watatu

WATU watatu wamekufa baada ya sehemu ya kuta za kihistoria kuzunguka Mji Mkongwe wa Kairouan nchini Tunisia kuporomoka. Maafisa wanasema…

Soma Zaidi »
Back to top button