Year: 2023

Afya

RC Mwanza: Wazazi pelekeni chakula shuleni

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla amezitaka halmashauri ambazo bado hazijafanya vizuri katika zoezi la kutoa chakula shuleni kwa…

Soma Zaidi »
Biashara

TASAC yaboresha kanuni kuongeza ufanisi

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),  limesikia kilio cha wadau wa sekta ya usafiri kwa njia ya maji kwa…

Soma Zaidi »
Afya

Wananchi Dar kupimwa magonjwa ya moyo

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete na Hospitali ya Dar Group wanatarajia kufanya kambi maalum ya upimaji na matibabu ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Wabunge Uganda waja kujifunza sheria ya ndoa

WABUNGE kutoka nchini Uganda wapo nchini kwa ajili ya kujifunza namna sheria ya ndoa inavyotekelezwa hapa nchini, changamoto zilizopo kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Kuweni na subira ripoti takwimu hali ya ulemavu ‘

OFISI ya Taifa ya Takwimu imewataka wadau wanaohitaji  ripoti za takwimu za hali ya ulemavu nchini  baada ya matokeo ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Mbaroni kwa kuua mke, shemeji

TANGA; JESHİ la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kumkamata Swalehe Miraji Ally, mwenye umri wa miaka 38 aliyekuwa kakimbilia mkoani…

Soma Zaidi »
Biashara

Wafanyabiashara 300 wanaufaika elimu ya mikopo

WAFANYABIASHARA zaidi ya 300 kutoka mkoa wa Mwanza wamenufaika na elimu ya mikopo kutoka benki ya NMB. Akizungumza wakati wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

TRA yajivua Cask Bar kufungwa

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haihusiki na kufungwa kwa The Cask Bar & Grill jijini Mwanza. Taarifa iliyotolewa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waliomba kujiunga na polisi wapewa maelekezo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limewajulisha vijana waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi hilo kutembelea mbao za matangazo katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Sita kuwania mchezaji bora EPL

ERLING Haaland ni mmoja wa wachezaji watatu wa Manchester City walioteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa chama…

Soma Zaidi »
Back to top button