Year: 2024

Featured

Rais mstaafu Peru jela miaka 20 kisa rushwa

MAHAKAMA nchini Peru imemhukumu rais wa zamani wa taifa hilo, Alejandro Toledo kifungo cha miaka 20 na miezi sita jela…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania na Singapore kuimarisha uhusiano

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa uhusiano wa Tanzania na Singapore ni wa muda…

Soma Zaidi »
Featured

Ni hekaheka Ligi ya Mabingwa Ulaya leo

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inarejea leo ikifanyika michezo tisa katika viwanja tofauti. Moja ya mechi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kasulu yatumia 4R uandikishaji uchaguzi mitaa

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kasulu imesema kuwa 4R za Rais Samia ni miongoni mambo manne yaliyoifanya halmashauri hiyo kufanya vizuri…

Soma Zaidi »
Featured

Simba, Yanga viwanja tofauti Ligi Kuu leo

MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga leo zinashuka katika viwanja tofauti kusaka pointi 3 muhimu katika mwendelezo wa mechi…

Soma Zaidi »
Gesi

Wizara yaitaka PURA kujipanga utangazaji vitalu vya mafuta, gesi

Tanga: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi), Dk James Mataragio ametoa rai kwa Mamlaka…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Israel yashambulia Taasisi za Hezbollah

LEBANON : JESHI la Israel limefanya mashambulizi ya anga yaliyolenga taasisi ya fedha inayodaiwa kuhusika kwa ufadhili wa silaha za…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ali Kiba atunukiwa tuzo na wanawake Zanzibar

MWIMBAJI wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba ‘King Kiba’ ametunukiwa tuzo Bingwa wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mapigano yameanza upya Congo

CONGO :  MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia…

Soma Zaidi »
Featured

Samia atoa mil 50/ kuwezesha wanawake wa Samia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Wanawake na Samia Mkoa wa Geita…

Soma Zaidi »
Back to top button