Year: 2024

Gesi

Timu yajifunza utekelezaji miradi LNG Indonesia

TIMU ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG) imeendelea na ziara yake nchini Indonesia…

Soma Zaidi »
Featured

Naibu Waziri Fedha azindua boti ya TRA

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wagombea Uenyekiti wa Tume ya AU kukutana Addis

ETHIOPIA : WAGOMBEA wa Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika wanatarajiwa kukabiliana leo ana kwa ana katika mdahalo wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bilioni 3/- kutekeleza afua VVU

SERIKALI inakusudia kuwekeza Sh bilioni 3.3 kwa ajili ya utekelezaji wa afua za VVU na kifua kikuu katika Mkoa wa…

Soma Zaidi »
Afya

Wanaojitolea wafundishwe huduma za dharura

SERIKALI imesema wananchi wanaojitolea, Polisi na madereva wanaoendesha magari ya ‘ambulance’ wanahitaji kupewa mafunzo namna ya kuhudumia wagonjwa wa dharura…

Soma Zaidi »
Featured

“Miradi ya ujenzi iende sambamba na uhifadhi mazingira”

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya ametoa wito kwa wabunifu, wahandisi, na wadau wote wa Sekta ya Ujenzi kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Biashara

Wachakataji dagaa waomba uwekezaji nishati umeme jua

ANASEMA ufanisi wa teknolojia ya kitalu nyumba ukiweka tani mbili za dagaa kwenye mtambo, baada ya kukauka hubakia tani moja…

Soma Zaidi »
Fedha

Wafanyabiashara: Sheria za kodi zifikirie wazawa

WADAU wa kodi wametoa mapendekezo kadhaa yakiwemo kuboresha mifu[1]mo na sheria ili kuboresha mazingira ya biashara. Wameshauri sheria za kodi…

Soma Zaidi »
Featured

Nyuki kung’ata au ni Azam kulamba asali leo?

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendeleo leo kwa michezo miwili kupigwa Tabora na Manyara. Mkoani Tabora, wenyeji Tabora United #nyukiwatabora itawakaribisha…

Soma Zaidi »
Fedha

TRA yavuka lengo makusanyo Novemba

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 2.47 Novemba mwaka huu ikiwa ni zaidi ya lengo la makusanyo kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button