Year: 2024

Sayansi & Teknolojia

Nape asisitiza matumizi chanya Akili Mnemba

GENEVA, USWIZI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye , ametembelea banda la maonesho la kampuni ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Silaa afunga ofisi ya masijala ya Ardhi Dodoma

DODOMA: Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Jerry Silaa amefunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma ikiwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Ndejembi ataka TUCTA kuja na mipango madhubuti

DAR ES SALAAM: Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu kazi vijana, ajira na wenye ulemavu, Deogratius Ndejembi ametoa rai…

Soma Zaidi »
Biashara

Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

DAR ES SALAAM: TANZANIA na Marekani zimedhamiria kuongeza kiwango cha  biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha  Dola milioni…

Soma Zaidi »
Jamii

RC amtaka Mhandisi kuhamishia ofisi kijijini

IRINGA: MKUU wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba amemtaka Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Nicco Kasililika kuondoka ofisini…

Soma Zaidi »
Jamii

Kampeni msaada wa kisheria yaanza Ludewa

NJOMBE: MKUU wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Victoria Mwanziva amesema kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ‘Mama…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

TPBRC yasimamisha pambano la Mwakinyo

DAR ES SALAAM. KAMISHENI ya ngumi za kulipwa nchini ( TPBRC), imesimamisha pambano la mkanda wa Middle ubingwa wa WBO,…

Soma Zaidi »
Picha

Mpango wa kumiliki simu

DAR ES SALAAM: George Lugata, Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania (kushoto)na Edwin Byampanju, Mwakilishi wa…

Soma Zaidi »
Bunge

Wabunge wapitisha bajeti Mambo ya Nje

DODOMA; WABUNGE wamepitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mapema leo Waziri wa Mambo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa awaondoa hofu watumia vivuko Dar

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa…

Soma Zaidi »
Back to top button