Year: 2024

Zanzibar

Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makonda aagiza viwanda kuongeza thamani mazao

ARUMERU, Arusha: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru kubuni mpango wa kuwezesha ujenzi…

Soma Zaidi »
Bunge

Barabara za Kivule, Mpiji Magoe, Bonyokwa zatengewa fungu

DODOMA; WIZARA ya Ujenzi katika mwaka wa fedha 2024/25, imetenga kiasi cha Sh bilioni 9.7 kwa ajili ya mradi wa…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yazungumzia ujenzi daraja Mto Mkondoa

DODOMa; SERIKALI imesaini mkataba na Mhandisi Mshauri wa kufanya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa daraja la…

Soma Zaidi »
Bunge

Bei vocha za kukwangua zapandishwa kinyemela

DODOMA: SERIKALI imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), kufuatilia suala la baadhi ya wafanyabiashara kudaiwa kupandisha kinyemela bei…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Flyover’ yanukia makutano Mwenge, Morocco

DODOMA; SERIKALI inaendelea na mazungumzo na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu…

Soma Zaidi »
Bunge

Mambo yaiva ujenzi daraja Jangwani

DODOMA; Utekelezaji wa ujenzi wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam lenye urefu wa mita 390 unatarajiwa kuanza mwaka…

Soma Zaidi »
Bunge

Bashungwa aja na vipaumbele 9 ujenzi

DODOMA; WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasilisha bajaeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yenye vipaumbele tisa. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mnyama aikosa Ligi ya Mabingwa Afrika

DAR ES SALAAM: Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa…

Soma Zaidi »
Afya

Dk Mollel ataka kampeni kusambaza taulo za kike mashuleni

ARUSHA: NAIBU Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amewataka wadau wa afya zikiwemo taasisi za Umma, Asasi na Mashirika yasiyo…

Soma Zaidi »
Back to top button