Year: 2024

Michezo na Burudani

Twiga Stars kambini kuikabili Mali, Sudan Kusini

DAR ES SALAAM: TIMU ya Taifa ya Wanawake Tanzania ‘Twiga Stars‘ inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Sudan…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shigella: Wanawake muungeni mkono Samia

GEITA: RAIS Samia Suluhu Hassan ametajwa kuvunja minyororo ya mifumo dume na ameonesha uwezo mkubwa, hivyo wanawake wanapaswa kumuunga mkono.…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Si majanga yote ya moto majumbani chanzo TANESCO’

GEITA: KAMANDA wa Jeshi la zima moto na Uokoaji mkoani Geita, Kamanda Mratibu Hamis Dawa amesema kuwa majanga mengi ya…

Soma Zaidi »
Bunge

Mbunge alia na utapeli wa ardhi Bagamoyo

DODOMA; MBUNGE wa Jimbo la Bagamoyo, Muharami Mkenge, amesema wananchi wengi wanauziwa maeneo ya ardhi Bagamoyo mkoani Pwani kwa kutapeliwa…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy ataja njia kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza

GENEVA, Uswisi: ULAJI wa vyakula kwa kupunguza matumizi ya chumvi, sukari na mafuta husaidia kupunguza magonjwa yasiyoambukiza. Waziri wa Afya,…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Maofisa ardhi wamejigeuza madalali’

DODOMA; MBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo, amesema baadhi ya wataalamu wa ardhi mkoani Dodoma, wamejigeuza madalali na…

Soma Zaidi »
Bunge

Mbunge ampa somo Waziri Silaa

DODOMA: Mbunge wa Makunduchi, Haji Amour Haji amemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa, achukulie pongezi…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yazungumzia udhibiti magonjwa ambukizi

DODOMA; SERIKALI imesema Kampeni ya Mtu ni Afya iliyozinduliwa mapema mwezi huu itasaidia udhibiti wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kauli…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali: Bima ya Afya kwa wote itarahisisha huduma

DODOMA; SERIKALI imesema kuanza utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote utawezesha makundi mbalimbali ya wananchi wakiwemo watoto…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Kuunganisha umeme Sh 177,000 ilifutwa’

DODOMA; SERIKALI imesema gharama ya Sh 177,000 kuunganisha umeme vijijini kwa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) ilifutwa na sasa ni…

Soma Zaidi »
Back to top button