Year: 2024

Bunge

Serikali yatoa maelekezo madeni ya watumishi

DODOMA; SERIKALI imetaka waajiri wote nchini kuhakiki na kuwasilisha madeni ya watumishi kwa ajili ya taratibu za uhakiki na malipo.…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Kamati yapendekeza mapitio ya tozo Rocky City Mall

MWANZA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imependekeza mapitio mapya ya tozo, ada mbalimbali zinazotozwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makanjanja kaeni chonjo msaada wa sheria wa Samia

NJOMBE: SERIKALI imewataka makanjanja kukaa chonjo, wakati ambao serikali imedhamiria kuwapelekea wananchi wataalamu bobezi, wenye weledi wa fani ya sheria…

Soma Zaidi »
Asia

Moto wauwa watoto hospitalini India

NEW DELHI, India: WATOTO saba waliozaliwa hivi karibuni wamefariki dunia katika ajali ya moto uliotokea katika hospitali ya watoto katika…

Soma Zaidi »
Dini

Serikali inathamini mchango wa madhehebu ya dini-Majaliwa

SOKOINE, Mbeya: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watu saba wafa maji wakivuka mto

KATAVI: WATU saba kati ya 14 waliyokuwa wakisafirisha magunia ya mpunga kwa kutumia mtumbwi katika bonde dogo la Kitongoji cha…

Soma Zaidi »
Jamii

Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 13

MUHEZA, Tanga: MAHAKAMA ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga imemhukumu jela kifungo cha Maisha, Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa…

Soma Zaidi »
Afya

Kampeni ya Holela-Holela itakukosti yazinduliwa

DAR ES SALAAM: KAMPENI ya Holela holela itakukosti imezinduliwa jijini Dar es Salaam wiki hii. Uzinduzi huo umefanywa na Ofisi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wakongwe wa soka waliokuwa mafukara wa kutupwa

UMASIKINI. Ukiutaja watu wanapeleka mawazo ya picha za nyumba ndogo zenye mapaa ya nyasi au majani na watu waliovaa nguo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakabidhi pikipiki kuimarisha usalama Arusha

ARUSHA; KAMPUNI ya Multicable Limited inayojishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za umeme pamoja na masuala ya utalii, imekabidhi…

Soma Zaidi »
Back to top button