Year: 2024

Jamii

Dawa mpya za kulevya zakamatwa Dar

DAR ES SALAAM; MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA), imekamata kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa…

Soma Zaidi »
Jamii

Watendaji wazembe Tanesco kuchukuliwa hatua

DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia amsifu Makonda utendaji CCM

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akisema kiongozi huyo amefanya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia ataka viongozi wateule wapitie hoja za CAG

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuhakikisha wanapitia na kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Trafiki kuondolewa barabarani kukabili rushwa

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa…

Soma Zaidi »
Bunge

Mbunge alia na mafao kwa wastaafu

DODOMA; Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, amesema bado kuna malalamiko mengi ya watumishi wa umma kuhusu malipo…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanaojenga SGR wasaidia yatima

DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa nchini (SGR), imetoa msaada kwenye kituo cha Mama Mwana…

Soma Zaidi »
Infographics

Mchezaji Kaizer Chiefs auawa kwa bunduki

Johannesburg, Afrika Kusini; MCHEZAJI wa Afrika Kusini na timu ya Kaizer Chiefs Luke Fleurs, ameuawa kwa kupigwa risasi katika tukio…

Soma Zaidi »
Africa

Spika wa Bunge Afrika Kusini ajiuzulu

CAPE TOWN, Afrika Kusini: NOSIVIWE Mapisa-Nqakula amejiuzulu rasmi nafasi ya uspika wa Bunge la Afrika Kusini kutokana na tuhuma za…

Soma Zaidi »
Bunge

Mbunge ataka wakulima korosho waboreshewe mazingira

DODOMA; Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu Yahya Mhata, ameishauri serikali kuboresha mazingira wezeshi kwa wakulima wa korosho ili waweze kuzalisha…

Soma Zaidi »
Back to top button