Year: 2024

Infographics

Nahodha Geita awapa heshima Simba

NAODHA wa kikosi cha wachimba dhahabu wa Geita Fc Elias Maguli amefunguka na kusema kuwa kuelekea katika mchezo wao wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

‘Yanga Stadium’ inakuja tulia uone

MDHAMINI na mfadhili wa klabu ya Yanga, Gharib Said Mohammed (GSM) ameridhia kujenga uwanja katika eneo la makao makuu ya…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM wasitisha ziara maombolezo kifo cha Lowassa

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesimamisha ziare yake ya mikoa 20 na kuungana na Wanachama na Watanzania wote katika siku tano…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rais wa Hungary kujiuzulu

RAIS wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu kufuatia ongezeko la ukosoaji juu ya uamuzi wake wa kumsamehe mwanaume aliyehusishwa na…

Soma Zaidi »
Infographics

Mwakinyo mwanamichezo bora wa mwezi

Bondia Hassan Mwakinyo ametunukiwa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwezi Januari. Utoaji wa tuzo hizo umefanyika jana katika tamasha la…

Soma Zaidi »
Africa

Watoto 700,000 kukumbwa na utapiamlo Sudan

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeeleza kwamba watoto 700,000 nchini Sudan wana uwezekano wa kukumbwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Madega kuzikwa leo

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Yanga, Iman Omary Madega atazikwa leo wilayani Chalinze mkoani Pwani. Madega alifariki jana akiwa katika Hospitali ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Simba waungana na Yanga kifo cha Madega

UONGOZI wa Simba umetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Iman Madega aliyefariki…

Soma Zaidi »
Tanzania

CCM watoa pole kifo cha Lowassa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeungana na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan kuipa pole familia ya Hayati Ngoyai…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwigulu, Nape, Zitto wamlilia Lowassa

BAADHI ya viongozi wa Serikali na vyama vya siasa nchini wameguswa kwa namna yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »
Back to top button