Year: 2024

Utalii

Chana akabidhi malori, mitambo kuboresha uhifadhi

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekabidhi malori matano na mitambo mitano mitano yenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbio za Mtembezi kuvutia washiriki 500 Iringa

KATIKA juhudi za kuhamasisha utalii wa ndani na kuchochea ukuaji wa uchumi, mbio za kipekee zinazojulikana kama “Mtembezi Marathon” imeandaliwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Ujerumani yaahidi dola milioni 680 kusaidia Ukraine

UKRAINE: KANSELA wa Ujerumani Olaf Scholz amefanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine ili kuthibitisha uungaji mkono wa Berlin kwa Kyiv…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia: Ndugulile ameweka heshima Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza shughuli ya kuuga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la…

Soma Zaidi »
Kimataifa

ICC kujadili waranti wanazotoa

UHOLANZI : NCHI wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, wamekutana katika mkutano wa 23 ambapo watachagua kamati mpya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mashabiki wa soka 56 wapoteza maisha

GUINEA : ZAIDI ya mashabiki 50 wa soka wamekufa katika mkanyagano kusini mwa Guinea wakati vikosi vya usalama vilipokuwa vikijaribu…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Risiti ihakikiwe malipo kwa wazabuni”

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Morogoro imewataka wataalamu kutoka idara na taasisi za serikali mkoani humo kuhakiki risiti…

Soma Zaidi »
Afya

Kitoweo cha dagaa: Urithi mkombozi anayekabiliwa changamoto ya ukaushaji

DAGAA ni kitoweo maarufu katika jamii nyingi za Afrika Mashariki kinachow[1]afikia walaji wa hali zote masikini na tajiri. Huliwa wakiwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watatu wamekufa kula kasa

UFILIPINO : WATU watatu wamefariki na wengine 32 wamelazwa hospitalini nchini Ufilipino baada ya kula kasa wa baharini. Maafisa wa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Uzalishaji taka plastiki wasumbua dunia

KOREA KUSINI : MAZUNGUMZO ya wiki nzima kuhusu mkataba wa kihistoria wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na taka za plastiki…

Soma Zaidi »
Back to top button