Year: 2025

Bunge

Ushuru vinywaji vya kuongeza nguvu  kupunguzwa

DODOMA; SERIKALI inakusudia kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi…

Soma Zaidi »
Bunge

Uchaguzi Mkuu kugharamiwa na fedha za ndani

DODOMA; SERIKALI imesema Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025 utagharamiwa kwa fedha za ndani. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »
Infographics

Bajeti imezingatia nyongeza ya mishahara

DODOMA; WAZIRI WA Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya serikali mwaka 2025/26 imezingatia nyongeza ya mishahara iliyotangazwa na Rais…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Sh tril.40 bajeti kugharamiwa na mapato ya ndani

DODOMA; BAJETI ya serikali ya mwaka wa fedha 2025/26 inatarajiwa kugharamiwa na mapato ya ndani ya shilingi trilioni 40.47. Kauli…

Soma Zaidi »
Featured

Usajili bodaboda, leseni za bajaji, guta wapunguzwa

DODOMA; SERIKALI inakusudia kufanya marekebisho kwenye Kanuni za Sheria ya Usalama Barabarani za mwaka 2024 ili kupunguza ada ya usajili…

Soma Zaidi »
Featured

Wastaafu kima cha chini kulipwa 250,125.9/- kwa mwezi

KATIKA mwaka 2025/26, Serikali itaongeza kima cha chini cha pensheni ya kila mwezi kwa wastaafu wanaolipwa na hazina kutoka shs…

Soma Zaidi »
Biashara

ZIARA SBL: Dhamira, uendelevu na ukuaji jumuishi vyamkosha mjumbe, Balozi wa Uingereza

Dar es Salaam: Serengeti Breweries Limited (SBL), kampuni tanzu ya Diageo PLC, leo, Alhamisi, imewapokea Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,…

Soma Zaidi »
Uchumi

Misingi ya bajeti 2025/26 hii hapa

DODOMA; WAZIRI wa Fedha, Dk Mwiguku Nchemba, muda huu anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2025/26.…

Soma Zaidi »
Featured

Marekebisho mfumo wa kodi kuipa serikali Sh tril.4

DODOMA; SERIKALI imesema mapendekezo ya kurekebisha mfumo wa kodi kwa mwaka 2025/26 yanatarajiwa kuiongezea Serikali jumla ya shilingi trilioni 4.2.…

Soma Zaidi »
Featured

Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali

SERIKALI imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shs trilioni 107.70. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo…

Soma Zaidi »
Back to top button