Year: 2025

Featured

PSG, Barcelona zawania saini ya Jhon Duran

MABINGWA watetezi wa Ligue 1, Paris Saint-Germain inavutiwa kumsajili Jhon Duran wa Aston Villa na inaaminika klabu hiyo ya Ligi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Barabara Mianzini-Ngaramtoni kukamilika Septemba

ARUSHA: WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mkoa wa Arusha, Mhandisi Reginald Massawe…

Soma Zaidi »
Featured

Jifunze Kiswahili

We continue with our letter F Furaha means Fun, Joy, Happiness and gladness ,also furaha is the name of person…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bil 4.6/- kujenga daraja Tanganyeti

WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amemkabidhi Mkandarasi Jiangx Geo Engineering kazi ya ujenzi wa daraja la Tanganyeti wilayani Longido lenye…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania, Italia kushirikiana kuendeleza sekta ya Madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesena Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na Italia…

Soma Zaidi »
Featured

Majaliwa: Ubora wa miradi uwiane na thamani ya fedha

Amesema serikali imeendelea kutenga rasilimali fedha kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya elimu.

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yashauriwa kuwatambua wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya kodi

DAR-ES-SALAAM : SERIKALI imeshauriwa kuanzisha utaratibu mzuri wa kuwafahamu wafanyabiashara wadogo nchini ili waweze kuingizwa katika mifumo rasmi ya ulipaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

NEEC yapendekeza elimu ya sheria ya kodi kwa wafanyabiashara wadogo

DAR-ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amependekeza kuwa wafanyabiashara wadogo wapewe…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wafanyabiashara wapunguziwe tozo

DAR –ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amesema wafanyabiashara wengi wadogo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kugawa vyandarau bila malipo Shinyanga

SERIKALI inatarajia kugawa vyandarua zaidi ya milioni 1.5 bila malipo kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyanga lengo kutokomeza maambukizi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button