Year: 2026

Tanzania

Prof Mbarawa aeleza ukuaji sekta ya uchukuzi

DODOMA: Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema kwa mujibu wa taarifa ya hali ya uchumi wa taifa ya mwaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Fidia mradi wa umeme yaanza kutolewa Karagwe

KARAGWE: WANANCHI 280 wa kata nne za wilaya ya Karagwe iliyopo mkoani Kagera wameanza kulipwa fidia na Shirika la Umeme…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mabaraza ya usuluhishi yatakiwa kutanguliza maridhiano

KAGERA: Utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala (ADR) umeendelea kutajwa kuwa suluhisho muhimu katika kuimarisha amani na mshikamano katika familia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kiswaga atahadharisha mabadiliko tabianchi

DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mhe. Jackson Kiswaga, ameeleza kuwa licha…

Soma Zaidi »
Afya

Kafulila azungumzia sekta ya afya

DAR ES SALAAM: Katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani, Mkurugenzi wa wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya…

Soma Zaidi »
Siasa

Mgombea amwagiwa sifa, CCM ikizindua kampeni Isimani

IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamezindua kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Isimani kwa kumwaga sifa kwa mgombea…

Soma Zaidi »
Featured

Chevron: Tupo tayari kuwekeza Tanzania

London, Uingereza: Kampuni kubwa nishati kutoka Marekani, Chevron Corporation imeeleza utayari wake wa kuwekeza nchini Tanzania katika shughuli za utafutaji…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Makongoro aibuka mshindi safari ya Kombe la Dunia

DAR ES SALAAM:MAKONGORO Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa Julius Nyerere, ameingia katika orodha ya washindi watatu wa droo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kiswaga asaidia mifuko 200 ya Saruji Tosamaganga Sekondari

IRINGA: Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 100 ya shule ya sekondari Tosamaganga, Mbunge wa Jimbo la Kalenga ilipo shule hiyo,…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

“Kifaranga cha kuku” is a Swahili phrase made of two parts: kifaranga= a young bird (especially a chick)cha kuku =…

Soma Zaidi »
Back to top button