Year: 2026

Tanzania

Wanafunzi, wazazi wanufaika na ushauri wa elimu kimataifa

MWANZA: WAZAZI, walezi na wanafunzi katika maeneo mbalimbali nchini wameanza kupata mwanga zaidi kuhusu fursa za elimu ya juu nje…

Soma Zaidi »
Biashara

SUA yazalisha watalamu kilimo biashara

MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia mtaala mpya wa masomo ya Shamba Darasa la Klimo Biashara (FFBS),…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ngajilo aja na mpango wa kuirudisha Iringa Ligi Kuu

IRINGA: Miaka sita tangu Lipuli FC ilipoaga Ligi Kuu Tanzania Bara mwishoni mwa msimu wa 2019/20, Mkoa wa Iringa unaonekana…

Soma Zaidi »
Featured

Watoto wenye mahitaji maalumu wafundishwa kuzuia kuzama

DAR ES SALAAM: WATOTO wenye mahitaji maalum wamepewa kipaumbele katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Kuzama Maji, kupitia…

Soma Zaidi »
Featured

Mwigulu: Fedha za Marathon zilete tija kwa walengwa

DODOMA. Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amezitaka wizara na taasisi zinazonufaika na fedha za NBC Marathon zihakikishe zinatumika kwa uwazi…

Soma Zaidi »
Biashara

Benki yatumia parokia kama mawakala wa kimkakati

MAWAKALA 28 kati ya 1,957 wa Benki ya Biashara ya Mkombozi ni mawakala wa kimkakati waliopo katika maeneo maalumu ya…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Tiseza yahamasisha wawekezaji Rungwe

MBEYA: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imewahimiza wawekezaji kutumia fursa zilizopo Wilaya ya Rungwe mkoani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kihenzile: Nauli za ndege ziendane na hali halisi ya maisha

DAR ES SALAAM: SERIKALI imeiagiza Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kuhakikisha inapanga gharama za usafiri wa anga kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

wajasiriamali Tamasha la Samaki wapewa raha nishati safi

PWANI: KAMPUNI ya Oryx Gas imekabidhi mitungi ya gesi ya kupikia 600 kwa makundi mbalimbali ya wajasiriamali wakimo mama lishe…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waandishi wa habari watakiwa kujiunga NSSF

DAR ES SALAAM: Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, aliyewakilishwa na Dk James Kalanje, amewataka…

Soma Zaidi »
Back to top button