Mwandishi wetu

Biashara

NBC yatwaa tuzo mwezeshaji bora mikopo Serikali Kuu

ZANZIBAR: BENKI ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Afrika kwa mwaka…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ngoma Mchezaji Bora Muungano

ZANZIBAR; Kiungo wa Simba ya Dar es Salaam, Fabrice Ngoma ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Kombe la Muungano…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba bingwa Kombe la Muungano

ZANZIBAR; BAO la kiungo Msenegal Babacar Sarr dakika ya 77, limeiwezesha Simba kuibuka bingwa mpya wa michuano ya Kombe la…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi wafunguka Dk Kawambwa kutishiwa kufungwa pingu

PWANI; POLISI Mkoa wa Pwani imekamata watu wawili kuhusiana na tukio la kudhalilishwa kwa Mbunge wa zamani wa Bagamoyo na…

Soma Zaidi »
Jamii

Kigoma wajipanga upatikanaji maji

KIGOMA; Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira  Kigoma Ujiji (KUWASA), imesema kuwa imejipanga kuhakikisha huduma ya maji safi na…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Tuenzi Muungano kwa kufanya kazi’

KATAVI; MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Onesmo Buswelu, amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kushikamana na kudumisha upendo, amani…

Soma Zaidi »
Dini

BAKWATA Katavi waja kidigitali

KATAVI; Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Katavi, limezindua mfumo wa matumizi ya TEHAMA katika shughuli mbalimbali za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nape: Utashi wa Samia umekuza mawasiliano

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema utashi wa kisiasa wa Rais Samia Suluhu Hassan umewezesha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mpango atoa agizo uzalishaji simu janja

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameziagiza Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) kuweka mkazo katika kutafuta wawekezaji wanaoweza kuzalisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia: Muungano unahitajika leo, ulindwe

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Muungano wa Tanzania umeliimarisha taifa, na kwamba unahitajika leo kama ambavyo ulihitajika mwaka 1964 ulipoasisiwa.…

Soma Zaidi »
Back to top button