Na Iddy Mwema, Dodoma

Bunge

Bunge lapitisha Bajeti Kuu ya Serikali

Bunge la Tanzania limepitisha rasmi Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2023/2024 kwa kura 354 ambayo ni  sawa 95%.…

Soma Zaidi »
Dodoma

Chongolo aipa tano serikali miradi ya DUWASA         

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameipongeza serikali katika kutatua changamoto ya maji jijini  Dodoma Chongolo ameyasema…

Soma Zaidi »
Jamii

Samia arudisha mikopo ya asilimia 10

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza asilimia 10 ya fedha za halmashauri kwaajili ya mikopo kwa wanawake, vijana na walemavu alizozisitisha…

Soma Zaidi »
Jamii

Aliyetuhumiwa kunajisi mtoto wa miaka 5 ashinda rufani

MAHAKAMA Kuu Masjala ya Wilaya ya Mwanza, imemwachilia huru Daudi Kanyengele baada ya kushinda rufaa aliyofungua kupinga kifungo cha miaka…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Gundogan kuongoza 4-3-3 ya Xavi

BARCELONA imekamilisha usajili wa kiungo Ilkay Gundogan kutoka Manchester City. Kwa mujibu wa wachambuzi mbalimbali kuhusu usajili huo, Gundogan ana…

Soma Zaidi »
Fursa

‘Wanawake changamkieni fursa kwenye ubaharia’

TAKWIMU zinaonesha idadi ya mabaharia Tanzania ni takribani 9,000,  huku wanawake wakiwa ni chini ya asilimia moja. Takwimu hizo zimetolewa…

Soma Zaidi »
Biashara

Wafanyabiashara washukuru kuondolewa vikwazo mpakani

KAMPUNI ya Waandaaji wa maonesho ya Biashara, Kilimo, Uwekezaji na Utalii ya Afrika Mashariki (EAC EXPO), wameishukuru serikali mkoani Kagera…

Soma Zaidi »
Podcast

Habari Kuu Juni 23, 2023

Mkusanyiko wa Habari Kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Juni 23, 2023. – #HabarileoUPDATES

Soma Zaidi »
Kanda

RC Kunenge ‘aifagilia’ Kibaha ukusanyaji mapato

MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa kuongoza kimapato kwa mwaka 2022/2023. Kunenge…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Watumishi rudisheni kwa jamii yenye uhitaji’

KATIKA maadhimisho ya kilele cha wiki ya utumishi wa  umma, taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali zimeshauriwa kuikumbuka…

Soma Zaidi »
Back to top button