Na Mwandishi Wetu

Kanda

‘Bwawa la Nyerere ni utekelezaji Ilani ya CCM’

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba Queens, Yanga Princess patashika leo

#MICHEZO: Huku Opa Clement, kule Aniela Uwimana, kitaeleweka, Simba Queens itavaana na Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kilo 2,584 dawa za kulevya zateketezwa Dar

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na  Dawa za Kelevya (DCEA), imeteketeza  kilo 2,584.55 za dawa za kulevya. Kazi hiyo imefanyika…

Soma Zaidi »
Jamii

Aweso atoa maagizo suala la maji Kawe

WAZIRI wa maji, Jumaa Aweso amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga kuipa Mamlaka ya Maji na Usafi…

Soma Zaidi »
Afya

Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam,  imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Askari 6 uhifadhi wameuawa mwaka 2022’

JESHI la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba, 2022, limepoteza…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Walioanza kujipitisha ubunge, udiwani waonywa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita, Nicolous Kasendamila, amekemea wanachama kuanza kampeni za kunyemelea nafasi za udiwani na…

Soma Zaidi »
Kanda

Adakwa akidai ni mshauri wa Rais Samia mambo ya kijeshi

POLISI Mkoa wa Tanga imefanikiwa kumkamata mkazi wa Dar es Salaam, Zainabu Kagoso (50), akidaiwa kujitambulisha kuwa ni mshauri wa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mavunde ashukuru uanzishwaji shule mpya Kata ya Mpunguzi

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amemshukuru Rais  Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia madarasa ya uanzishwaji wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dulla Makabila aitwa Basata kuhusu wimbo Pita Huku

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata, limemtaka msanii Abdallah Ahmed ‘Dullah Makabila’ kufika katika ofisi za baraza hilo kujadili wimbo…

Soma Zaidi »
Back to top button