Mwandishi Wetu

Jamii

Mchengerwa atimiza ahadi Rufiji

RUFIJI; Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametimiza ahadi yake kutoa Sh…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

EPL kutumia teknolojia ya offside msimu ujao

LONDON, Ligi Kuu ya England maarufu Premier league itaanza kutumia teknolojia ya kung’amua kama mchezaji yupo kwenye eneo la kuotea…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi Nchi 14 kushiriki mafunzo ya pamoja

KILIMANJARO: Jeshi la Polisi Nchini, limesema linatalajia kuwa, mwenyeji wa tukio la mafunzo ya utayari kwa vitendo (Field Training Exercise…

Soma Zaidi »
Jamii

Takukuru wawezesheni watoto kujua athari za rushwa

TANGA: Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Godfrey Mnzava ameiagiza Taasisi ya Kupambana na Rushwa, kuwekeza kwa wanafunzi…

Soma Zaidi »
Jamii

Bil 1.8 kuunganisha Kata ya Mbingu, Namwawala

KILOMBERO, Morogoro: WAKALA Wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA umekamilisha ujenzi wa daraja la chuma la mto Lwipa (Mabey…

Soma Zaidi »
Muziki

Chibu; Sidondoki mpaka Mungu aseme

DAR ES SALAAM: Msanii  wa Muziki wa Bongo Fleva,Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amesema bado yupo sana kwenye muziki mpaka pale…

Soma Zaidi »
Muziki

Diamond; Nikikupa moyo wangu unadondoka puuh!

DAR ES SALAAM: Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema yeye ni binadamu mvumilivu mno…

Soma Zaidi »
Muziki

Diamond: Siongei sana, nishavuka huko

DAR ES SALAAM :Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema mwaka huu amejipanga kufanya muziki mzuri wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia akemea wanaokwepa kodi

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuendelea kulipa kodi ili serikali ikusanye mapato kwa haki yatakayoiwezesha kutimiza…

Soma Zaidi »
Jamii

Mamalishe jela maisha kuishi kinyumba na mtoto

MTWARA: MAMALISHE Asha Chamchuno (46) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono dhidi ya mtoto wa…

Soma Zaidi »
Back to top button