Mwandishi Wetu

Jamii

Ufaransa yaipa tano serikali miradi ya maji

UFARANSA: Serikali ya Ufaransa imesema inatambua na kuthamini jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika dhamira ya kuimarisha huduma ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi: Imamu hajatekwa anatuhumiwa uhalifu

GEITA: JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Imam wa msikiti wa Nyankumbu mjini Geita, ambaye pia ni mwalimu wa madrassa,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ujenzi Daraja la Magufuli wafikia 85%

MWANZA: Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66,…

Soma Zaidi »
Gesi

Wabunge: Serikali iagize magari yanayotumia gesi

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mnyama anasaka nyingine tatu

DAR ES SALAAM: Klabu ya Simba leo inatupa karata yake nyingine katika Ligi Kuu huku hesabu zikiwa ni kupunguza tofauti…

Soma Zaidi »
Uchumi

Kahawa ya Tanzania kivutio Japan

TOKYO, Japan: Kahawa ya Tanzania imeendelea kulishika soko la kimataifa baada ya  Kampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni…

Soma Zaidi »
Jamii

Viongozi wapewa mbinu kumaliza kero za wananchi

KATAVI: Mwenyekiti Wa CCM Mkoa wa Katavi, Idd Kimanta amesisitiza utunzaji wa siri za vikao, ushirikiano, upendo, ushirikiano wa chama…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Makamu wa Rais wa uchumi Barcelona ajiuzulu

BARCELONA, Hispania: RAIS wa Barcelona Joan Laporta amethibitisha kupokea barua ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Uchumi wa klabu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Messi kuikosa DC United Ligi ya Marekani

MIAMI, Marekani: KOCHA wa timu ya Inter Miami inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS), Gerardo Tata Martino amesema mchezaji…

Soma Zaidi »
Sanaa

Basata yatangaza punguzo la tozo kwa wasanii

DAR ES SALAAM: BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza punguzo la tozo za usajili wa wasanii na vibali kutoka Sh…

Soma Zaidi »
Back to top button