Ismaily Kawambwa

Michezo na Burudani

Benchikha kwaheri Simba!

DAR ES SALAAM: BAADA ya kuhudumu kwa takribani miezi mitano tu, leo uongozi wa klabu ya Simba ya Dar es…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba yafufukia Unguja

UNGUJA, Zanzibar: BAADA ya ukame wa michezo minne pasi na ushindi, mnyama @simbasctanzania leo, Aprili 24, 2024 amefufuka kwa kupata ushindi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Nasimama na Samia’

LOLIONDO, Arusha: WAZIRI wa Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema athari za kazi zinazofanywa na Rais…

Soma Zaidi »
Jamii

Redio za Taifa kusikika Loliondo, Kyela, Makete na Mbinga

LOLIONDO, Arusha: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko leo tarehe 15 Aprili, 2024 amezindua vituo vya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

MO ateta na viongozi Simba

DAR ES SALAAM: MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amefanya kikao cha ndani na viongozi wa klabu hiyo…

Soma Zaidi »
Jamii

Mvua zakata mawasiliano Kavuu

MLELE, Katavi: MVUA zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimekata mawasiliano katika madaraja ya Mto Msadya pamoja na Daraja la Mto…

Soma Zaidi »
Siasa

Kinana ataka utatuzi changamoto mpaka wa Sirari  

MARA: MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amemtaka Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Mchemba na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Samia: Geay, Simbu wameliheshimisha taifa

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amemtakia heri mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay katika mbio za Boston…

Soma Zaidi »
Dodoma

TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP

DODOMA: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefafanua kuwa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) limechangia kwa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Apongezwa kuvuna ‘Cha Arusha’

MLIMWA, Dodoma: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya namna inavyodhibiti biashara ya…

Soma Zaidi »
Back to top button