Ismaily Kawambwa

Tanzania

JK: Wanafunzi wafaidike na tafiti zao

DAR ES SALAAM: RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa mamlaka za elimu ya juu nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya wanafunzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk. Feleshi: CMA, mahakama zisomane

DAR ES SALAAM: MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Dk. Eliezer Feleshi ameitaka Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kuwa na mifumo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Michango NBC Marathon kuinua sekta ya afya

DAR ES SALAAM: MBIO zenye hadhi ya kimataifa ya NBC Marathon zinatarajiwa kufanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kapinga aiagiza REA kufikisha umeme vitongojini

KAHAMA, Shinyanga: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaongeza nguzo 40 ambazo ni…

Soma Zaidi »
Jamii

Fundi ‘aluminium’ asiyeona, msomi wa PhD

DAR ES SALAAM: NI mfano wa kujitoa ili kuwa kioo kwa wale wote waliokata tamaa ya kujaribu, kisa tu wanaishi…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Serikali, sekta binafsi zishirikiane kwa manufaa ya vijana

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amesema kuna umuhimu wa kujenga mahusiano mazuri kati ya serikali na sekta…

Soma Zaidi »
Utalii

Wabunge Marekani waimwagia sifa Tanzania

KILIMANJARO: WAWAKILISHI 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Chama, Yanga ndoto za Abunuwasi

DAR ES SALAAM: KITENDAWILI cha hatma wa kiungo wa Klabu ya Simba, Clatous Chama kimeteguliwa baada ya nyota huyo kuongeza…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Msimu wa 5 NBC Dodoma Marathon wazinduliwa

DAR ES SALAAM: BENKI ya NBC imezindua rasmi msimu wa tano wa mbio zake zinazofahamika kama NBC Dodoma Marathon msimu…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Tunaendelea na mkakati ujenzi vituo vya ukaguzi’

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea na mpango mkakati wa ujenzi wa vituo vya ukaguzi katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »
Back to top button