Mwandishi wetu

Bunge

Spika Zungu aitisha kikao cha dharura

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura…

Soma Zaidi »
Jamii

Vijana 100 wanufaika FDC Sikonge

SERIKALI chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta mabadiliko chanya kupitia elimu ya ufundi stadi. Mafanikio hayo…

Soma Zaidi »
Bunge

Vangimembe Lukuvi: Jabali la Siasa Mbunge Mkongwe Aaga Dunia

TANZANIA imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe na waliolitumikia taifa kwa muda mrefu, William Vangimembe Lukuvi, aliyefariki dunia leo, Machi…

Soma Zaidi »
Fasihi

Watengeneza maudhui ya Kiswahili kulipwa

SERIKALI imesema imeanza mazungumzo na UNESCO pamoja na Meta Platforms ili kuhakikisha lugha ya Kiswahili inatambuliwa rasmi kwenye majukwaa ya…

Soma Zaidi »
Afya

Kifua Kikuu kinavyoathiriwa na migogoro ya Dunia

KILA mwaka ifikapo Machi 24, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kifua Kikuu, ikiangazia ugonjwa wa kifua kikuu (TB) unaoendelea…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

MtumiajiApp kuboresha huduma za mawasiliano

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amezindua mfumo wa kidijitali wa kuwahudumia watumiaji wa huduma za mawasiliano…

Soma Zaidi »
Kimataifa

IEA : Tudhibiti mgogoro wa nishati

MKUU wa Shirika la Nishati la Kimataifa (IEA), Fatih Birol ametahadharisha kuwa mgogoro unaoendelea wa nishati Mashariki ya Kati unaweza…

Soma Zaidi »
Afya

Mtoto ajinyonga kisa kukanywa na wazazi

POLISI mkoani Morogoro wanachunguza kifo cha Rajabu Ally Mohammed (12), mtoto wa nyumbani na mkazi wa Ijava, Kata ya Italagwe,…

Soma Zaidi »
Africa

Mafuriko yauwa watu 81

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Kenya (KMD) imesema mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi imesababisha mafuriko makubwa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

TTCL kuimarisha huduma za mawasialiano Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi…

Soma Zaidi »
Back to top button