Kulthum Ally

Kimataifa

Magenge ya uhalifu yatikisa Haiti – UN

HAITI : WATAALAMU wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuwa magenge ya wahalifu yanayodhibiti maeneo makubwa ya Haiti yameongeza vitendo vya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mpango wa Nyuklia Iran watingisha Marekani

MAREKANI : RIPOTI ya ujasusi ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani imeeleza kuwa mashambulizi ya anga dhidi ya vinu vya…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Balozi Matinyi awasilisha hati za utambulisho kwa Mfalme Gustaf

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf, katika hafla maalum iliyofanyika…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali yazuia usafirishaji haramu wa almasi Bil.1.7

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imefanikiwa kuzuia jaribio la kusafirisha kinyume cha sheria madini ya almasi yenye thamani ya dola…

Soma Zaidi »
Amerika

Harvard yabanwa na Marekani, China yakerwa

SERIKALI ya China imeikosoa vikali hatua ya Marekani ya kukifutia Chuo Kikuu cha Harvard haki ya kuandikisha wanafunzi wa kigeni.

Soma Zaidi »
Asia

Ajali ya meli yaitikisa Korea Kaskazini

SERIKALI ya Korea Kaskazini imeanzisha uchunguzi maalum kufuatia ajali iliyotokea wakati wa uzinduzi wa meli mpya ya kivita yenye uzito…

Soma Zaidi »
Africa

Waziri wa Sheria DRC kuhojiwa

WAZIRI wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Constant Mutamba, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya takriban…

Soma Zaidi »
Kimataifa

G7 yaahidi kushughulikia usawa wa kiuchumi duniani

CANADA : MAWAZIRI wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu kutoka nchi za Kundi la G7 wamekubaliana kushughulikia changamoto ya…

Soma Zaidi »
Africa

Kabila aondolewa kinga ya kushtakiwa DRC

BARAZA la Seneti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limemvua rasmi kinga ya kutoshitakiwa Rais wa zamani Joseph Kabila,…

Soma Zaidi »
Biashara

TSN, NHIF Kujenga Ushirikiano wa Kidijitali

DAR-ES-SALAAM : MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Asha Dachi, amekutana na viongozi wa Mfuko wa Taifa…

Soma Zaidi »
Back to top button