Kulthum Ally

Kimataifa

Bobi Wine adai Jen.Kainerugaba anapanga kumkamata

UGANDA : KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Bobi WIne amedai kuwa  Muu wa Jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, anajipanga…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rais Macron adaiwa kudhalilisha waafrika

CHAD: SERIKALI ya Chad imemshutumu Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kwa kudharau nchi za Afrika, akisema kwamba wanadhihirisha kutokushukuru licha…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Harris athibitisha matokeo ya urais bungeni

MAREKANI : MAKAMU wa Rais wa Marekani na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Demcratic, Kamala Harris, ameongoza shughuli ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yashauriwa kuwatambua wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya kodi

DAR-ES-SALAAM : SERIKALI imeshauriwa kuanzisha utaratibu mzuri wa kuwafahamu wafanyabiashara wadogo nchini ili waweze kuingizwa katika mifumo rasmi ya ulipaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

NEEC yapendekeza elimu ya sheria ya kodi kwa wafanyabiashara wadogo

DAR-ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amependekeza kuwa wafanyabiashara wadogo wapewe…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wafanyabiashara wapunguziwe tozo

DAR –ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amesema wafanyabiashara wengi wadogo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

EAC yaahidi kushirikiana kibiashara

KENYA : NCHI za Jumuiya ya Afrika Mashariki na AU zimeombwa kudumisha ushirikiano ili kufungua mipaka ya biashara na mafanikio…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Urusi yatungua droni 22 za Ukraine

URUSI : WIZARA ya Ulinzi ya Urusi imetangaza kutunguliwa kwa ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine katika maeneo sita…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Zimbambwe yafuta adhabu ya kifo

ZIMBAMBWE : MKUU wa Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Volker Turk, amekaribisha uamuzi wa Zimbabwe wa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta

KAMPALA : UGANDA itazindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza Julai.…

Soma Zaidi »
Back to top button