Na Mwandishi wetu

Tanzania

Mtihani wa darasa la saba kuanza kesho

DAR ES SALAAM: KATIBU mtendaji wa baraza hilo, Said Mohamed amesema watahiniwa 1,230,780 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania Korea kushirikiana ujenzi miundombinu

KOREA KUSINI : WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Shambulizi Israel laua waru 40

ISRAEL : WATU 40 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la Israel kwenye kambi ya Wapalestina waliokimbia makazi yao…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Apple kulipa kodi euro bil.13

IRELAND : KAMPUNI ya teknolojia nchini Marekani -Apple imetakiwa kulipa euro bilioni  13  ikiwa ni kodi ambayo haijalipwa kwa Ireland…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wafungwa 1700 waachiwa huru

UINGEREZA : ZAIDI ya wafungwa 1,700 nchini Uingereza na Wales wataachiliwa huru mapema hii leo, kama sehemu ya mpango wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Aliyemuua mwanariadha afariki dunia

KENYA : ALIYEKUWA mpenzi wa mwanariadha Rebecca Cheptegei Dickson Ndiema ameaga dunia katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret.…

Soma Zaidi »
Madini

Gesi yajenga kituo cha afya na polisi

MTWARA: WANANCHI wa Msimbati, Wilaya ya Mtwara mkoani humo mbioni kunufaika na ujenzi wa kituo cha afya na kituo cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kutumia ndege kuzuia uvuvi haramu

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump na Harris wachuana kwa karibu

MAREKANI : MAKAMU wa Rais Kamala Harris na Rais wa zamani Donald Trump wameendelea kuchuana kwa karibu katika mbio za…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Gonzalez aahidi mapambano

VENEZUELA : KIONGOZI wa upinzani nchini Venezuela Edmundo Gonzalez, ameahidi kuendeleza  mapambano  dhidi ya Rais wa Venezuela  Nicolas Maduro hata…

Soma Zaidi »
Back to top button