Mwandishi wetu

Utalii

Rais Mwinyi apokea Tuzo ‘Africa’s Best Corporate Retreat 2025’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa wadau wa sekta ya…

Soma Zaidi »
Tahariri

Watanzania wasilisheni taarifa za vurugu

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani uliotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bajeti ya elimu juu 40% miaka mitano

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameeleza mafanikio ya sekta ya elimu, ikiwemo ongezeko la bajeti ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Ulega: Vijana lindeni amani

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa wito kwa vijana walinde amani ya Tanzania. Ulega alisema amani ni nguzo ya maendeleo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Mwinyi ataja vipaumbele 6 vya usimamizi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaja vipaumbele sita, vikiwa ni mwongozo wa utekelezaji na usimamizi wa majukumu kwa viongozi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yaibana Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi

SERIKALI imeiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma itimize wajibu wake ili kumaliza tuhuma dhidi ya viongozi wa serikali.…

Soma Zaidi »
Bunge

Buriani Jenista Mhagama 1967 – 2025

MWANASIASA mkongwe aliyewahi kuwa waziri na mbunge kwa miaka 25, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia. Kwa mujibu wa Spika…

Soma Zaidi »
Bunge

Buriani Mwalimu Jenista Mhagama

WILAYANI Peramiho mkoani Ruvuma ndipo safari ya Jenista Joackim Mhagama ilipoanzia, tarehe 23 Juni 1967 alipozaliwa. Kisha safari yake ikahamia…

Soma Zaidi »
Historia

Desemba 9 kumbukumbu isiyosahaulika

DESEMBA 9, 1961 ni alama isiyosahaulika katika historia ya Tanganyika. Ni siku ambayo ndoto za Watanganyika zilitimia baada ya nchi…

Soma Zaidi »
Dini

Bakwata, TEC, CCT wajadili amani

MUFTI wa Tanzania, Shehe Mkuu Abubakar Zubeir, amesema taasisi za dini nchini zimeanza mazungumzo yenye lengo la kuirudisha nchi katika…

Soma Zaidi »
Back to top button