Rahimu Fadhili

Tanzania

Muungano umetuunganisha – Andengenye

KIGOMA: MKUU wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye amesema uwepo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kielelezo kikubwa cha umoja…

Soma Zaidi »
Tanzania

Benki ya Stanbic yamkabidhi gari Mtanzania

BENKI ya Stanbic imemkabidhi gari Mtanzania Edwin Shayo aina ya Suzuki Fronx baada ya kushinda kampeni ya Tap Kibingwa. Makabidhiano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Changamoto za walimu kushughulikiwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa Kigoma kimesema kuwa Samia Teachers Mobile Clinic itasaidia kumaliza changamoto mbalimbali zinazowakabili walimu katika utendaji…

Soma Zaidi »
Infographics

Makamu wa Rais ataka kuombea viongozi, Bara, Visiwani

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemedi Abdulla amewaomba watanzania kuwaombea viongozi wa serikali zote mbili ili kudumisha umoja,…

Soma Zaidi »
Afya

Watoto 48.9% wamedumaa Rukwa

TAKRIBANI nusu ya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wamedumaa mkoani Rukwa huku kiwango cha udumavu ni asilimia…

Soma Zaidi »
Dini

Wasanii wajitokeza tuzo za Injili

WAANDAAJI wa Tuzo za Muziki wa Injili (TGMA) wamesema wametiwa moyo na muitiko wa wasanii wa muziki wa injili nchini…

Soma Zaidi »
Dini

Dk. Sule: amani muhimu kuliko madaraka

MWENYEKITI wa Taasisi ya Islaah Islamic, Dk. Seif Sule maarufu kama Dk. Sule ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanalinda amani…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Viongozi wa dini wasiingilie siasa za upande mmoja”

Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuepuka kuingilia siasa kwa namna yoyote, badala yake wajitahidi kuwa daraja la kuunganisha makundi mbalimbali…

Soma Zaidi »
Afya

Bunifu Muhas majawabu changamoto za afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inaunga mkono bunifu mbalimbali za afya zinazofanyika Chuo Kikuu na Sanyansi Shirikishi (Muhas) ili kupata…

Soma Zaidi »
Siasa

THRDC: Polisi boresheni utaratibu wananchi kuingia mahakamani

DAR ES SALAAM: MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umetoa wito kwa Jeshi la Polisi na vyombo…

Soma Zaidi »
Back to top button