Diana Deus

Infographics

Serikali kuwalinda watoto wanaotoa taarifa za ukatili

KAGERA: WANAFUNZI na watoto ambao wako chini ya umri wa miaka 18 wilayani Missenyi mkoani Kagera wamehakikishiwa kuwa  siri zao…

Soma Zaidi »
Siasa

ACT Wazalendo wajitosa uchaguzi mkuu

ZANZIBAR: CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 16 na Kiongozi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Missenyi washauriwa kuandika wosia

KAGERA: WANANCHI wanaoishi wilayani Missenyi mkoani Kagera wameshauriwa kuachana na dhana potofu ya kuwa ukiandika wosia ni kujitabiria kifo badala…

Soma Zaidi »
Infographics

DCEA yatoa elimu madhara dawa za kulevya Arusha

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa elimu juu ya madhara ya dawa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia aifungua kusini maendeleo kiuchumi

MTWARA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla Rais Samia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Hali ya usalama ni shwari – Makalla

MTWARA: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa…

Soma Zaidi »
Featured

Samia amtaka Majaliwa kufika Somanga

MTWARA: RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufika katika daraja la Somanga Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi…

Soma Zaidi »
Afya

Wadau wanolewa kusimamia utekelezaji uongezaji virutubishi kwenye vyakula

MOROGORO: OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imesema dhamira ya serikali ni Watanzania kupata vyakula…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mamia wajitokeza msaada wa kisheria Missenyi

MAMIA ya wananchi wanaoishi Kata ya Nsunga vijijini vya Byamtemba, Igayaza na Ngando wilayani Missenyi wamejitokeza kwa wingi kuwasilisha kero…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ndumbaro ataka waharifu kusemwa hadharani

KAGERA: WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amewataka wananchi kuwasema hadharani waharifu wanaofanya dhulma kwenye jamii zao. Lakini…

Soma Zaidi »
Back to top button