Congo

Africa

Watu 7,000 wafa DR Congo

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Judith Tuluka ametangaza zaidi ya watu 7,000 wamepoteza maisha tangu kuanza kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Godfrey afariki safarini

MOROGORO: GODFREY Mbaga anayekadiliwa kuwa umri wa miaka 25-30 ambaye ni mkulima na mkazi wa Mwanza, amefariki dunia wakati akiwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia aagiza shule iitwe Beatrice Shelukindo

TANGA :RAIS Samia Suluhu Hassan ameomba Shule ya Sayansi ya Wasichana ya Mkoa wa Tanga iliyopo Wilaya ya Kilindi aliiyoizinduliwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenyekiti ALAT amuombea Rais Samia

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Taifa Murshidi Ngeze amefanya dua kumuombea Rasi Samia Suluhu kwa kuwashirikisha wadau,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mpiga piano Roberta Flack afariki dunia

MSHINDI wa tuzo za Grammy na mpiga piano maarufu, Roberta Flack amefariki dunia leo Februari 24, 2025 akiwa na umri…

Soma Zaidi »
Utalii

Utalii waagizwa kupitia kanuni kifuta jasho

TANGA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali inaendelea kubuni mbinu za kukabiliana na wanyamapori wakali na waharibifu huku akiiielekeza Wizara…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahusika LBL Dar wanaswa

DAR ES SALAAM: JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 26 wahusika wa Kampuni ya Leo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Madiwani Arusha watakiwa kukamilisha miradi ya viporo

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaagiza madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha wanakamilisha miradi yote ya viporo ikiwemo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wamiliki wa shule binafsi waonywa

MWANZA: WAMILIKI wa shule binafsi zenye mabasi ya kubebea wanafunzi wametakiwa kuboresha magari yao kwa kuyafanyia matengenezo ili wanafunzi wawe…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kabila amkosoa Rais Tshisekedi

DRC: RAIS wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amesema kuwa uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais…

Soma Zaidi »
Back to top button