Rahimu Fadhili

Afya

Kambi uchunguzi wa afya Muhas kuwa endelevu

CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kambi maalum ya huduma za afya inayotolewa bure kwa magonjwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mahakama yamhukumu Luwongo kunyongwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mfanyabiashara, Khamis Luwonga…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watatu wahukumiwa kunyongwa Musoma

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Musoma mkoani Mara, imewahukumu washtakiwa watatu adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji. Washtakiwa…

Soma Zaidi »
Infographics

Tanroads yafafanua urefu barabara ya Bagamoyo

TANGA : MTENDAJI Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Mohamed Besta amesema barabara ya Bagamoyo Mukurunge Pangani- Saadani na Tanga iliyowekwa jiwe…

Soma Zaidi »
Jamii

Wadau kuendelea kushinikiza mabadiliko sheria ya ndoa

MTANDAO wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania (TECMN) umesema wadau wataendelea kushinikiza mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ubalozi India kupokea wageni tuzo za uchoraji

UBALOZI wa India Tanzania umesema unatarajia kupokea wageni zaidi ya 1,000 wakiwemo wanafunzi wa shule shiriki, wazazi wao, na wageni…

Soma Zaidi »
Infographics

Watuhumiwa nyara za serikali wakamatwa

JESHI la polisi mkoani Kagera linawashikilia watu watano kutoka sehemu tofauti Tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Kamanda wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ni Amir Matumla dhidi ya Amavila wa Namibia

BONDIA Amir Matumla anatarajia kupambana na bondia kutoka Namibia Paulus Amavila katika pambano lisilokuwa la ubingwa la Knockout ya Mama…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rihanna kuja na albamu ya tisa

BAADA ya kusubiri miaka mingi na mashabiki kusubiri kwa hamu, hatimaye Msanii kutoka Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna ameithibitisha ujio wa…

Soma Zaidi »
Utamaduni

Sanaa kuitangaza Tanzania nchini India

BALOZI wa Tanzania nchini India, Anisa Mbega ameahidi kuendelea kupanua fursa kwa vikundi vya sanaa na utamaduni kushiriki katika maonyesho…

Soma Zaidi »
Back to top button