Baraka Messa, Mbozi

Tanzania

Mvua yaharibu miche ya kahawa Mbozi

MVUA iliyoambatana na upepo mkali pamoja na mawe imeharibu zaidi ya miche 100,000 ya zao la kahawa pamoja na mazao…

Soma Zaidi »
Featured

Wagombea wana rekodi thabiti utekelezaji Ilani – Majaliwa

SIMIYU: MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema…

Soma Zaidi »
Infographics

Papa ashindwa kuongeza misa

VATICAN: KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, leo Jumapili ameshindwa kuongoza misa kama ilivyo kawaida yake kutokana na matatizo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watu 18 wafa wakigombea treni India

INDIA: TAKRIBAN watu 18 wamefariki na wengine 10 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye kituo cha reli cha New Delhi nchini…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Mwenda aipongeza Iramba ongezeko bajeti

SINGIDA:MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Mwenda ameridhishwa na kuipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kwa kupitisha bajeti…

Soma Zaidi »
Africa

Mahmoud mwenyekiti mpya kamisheni AU

ADDIS ABABA: Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibout, Mahmoud Youssouf amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wafundi watakiwa kutoa taarifa changamoto NeST

MAFUNDI wanaopata changamoto ya kuomba zabuni za ujenzi kwa kutumia mfumo wa kieletroniki wa manunuzi ya umma (NeST) wameagizwa kutoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Elimu ya malezi yatakiwa Mtwara

BAADHI ya watendaji katika halmashauri mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuhakikisha elimu ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto…

Soma Zaidi »
Tanzania

Madiwani Tanga wapitisha rasimu bajeti ya bil 83.3/- 2025/2026

TANGA: BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha Rasimu ya Bajeti ya Sh bilioni 83.3 kwa mwaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makonda ataka uhamasishaji upandaji miti

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza mamlaka zinazohusika na utoaji wa vibali vya ujenzi ikiwemo watu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button