Saada Akida na Brown Juma

Featured

Simba presha inapanda, inashuka

KIBAHA:UONGOZI wa klabu ya Simba, umesema wana mlima mkubwa Jumapili, Septemba 22 katika mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho…

Soma Zaidi »
Uchumi

Katambi azungumza na vijana fursa za ajira

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, ametoa wito kwa vijana kote…

Soma Zaidi »
Siasa

Ester Thomas: Juhudi zinahitajika kulinda demokrasia

NAIBU Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas ametoa wito wa kuimarisha juhudi za kulinda demokrasia nchini.…

Soma Zaidi »
Fedha

Wafanyabiashara Kagera kusikilizwa changamoto zao

KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato (TRA),  Yusuph Mwenda amewahakikishia wafanyabiashara mkoani Kagera kuwa atamtuma kamishina wa kodi za ndani kabla…

Soma Zaidi »
Tanzania

Viongozi watakiwa kulinda amani

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewasisitiza viongozi wa matawi, mashina na serikali za mitaa kuhakikisha wanaunga mkono juhudi…

Soma Zaidi »
Tanzania

TAMISEMI, USAID PS3+ watoa mafunzo mfumo wa IFTMIS

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa kushirikiana na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya…

Soma Zaidi »
Featured

Wakabidhiwa zawadi kombe la Tulia

TIMU ya mpira wa miguu ya Benja Fc imetwaa ubingwa wa Ligi ya Tulia Trust Uyole Cup 2024 iliyofikia tamati…

Soma Zaidi »
Featured

Bil 1.3/- zapotea sekondari ya wasichana Longido

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amebaini upotevu wa fedha zaidi ya Sh bilioni 1. 3 katika shule ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mchengerwa aagiza utambuzi wenye uhitaji maalum

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa ,wilaya…

Soma Zaidi »
Featured

Vijana 600,000 waajiriwa Jamukaya

VIJANA wapatao 600,000 kutoka Kanda ya Ziwa wamepata fursa za ajira katika kampuni ya Jambo Food Product ‘Jamukaya’ iliyopo kata…

Soma Zaidi »
Back to top button