Sijawa Omary, Mtwara

Tanzania

Watendaji Mtwara watakiwa kuwajali wengine

WATENDAJI kutoka halmashauri mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuwajali watendaji walio chini na juu yao ili kukamilisha malengo yanayokusidiwa kwenye mkoa…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

MAZUNGUMZO  SIJALI  AZUNGUMZA NA MTOTO WAKE ,MASHAKA Sijali: Je,mtihani Ilikuwa ngumu? Mashaka:Ndiyo,mtihani ulikuwa mgumu sana. Sijali:Je, unafikiri  utafaulu? Mashaka;Sijui,lakini nilifanya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mgogoro wa ardhi kupatiwa ufumbuzi Mtwara

MTWARA; SERIKALI imejipanga kujadili na kutoa suluhisho la kudumu kuhusu mgogoro wa ardhi baina ya kikosi cha jeshi 665 na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Zuchu afungiwa miezi sita

BARAZA la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa Zuhura Othman, ‘Zuchu’ kuendesha shughuli za sanaa visiwani…

Soma Zaidi »
Africa

Wawili wafa ndege zikigongana Nairobi

WATU wawili wamekufa kufuatia ajali ya ndege mbili zilizogongana angani na kuamgukia katika Mbuga ya Kitaifa Nairobi nchini Kenya. Waliofariki…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Zuchu akubali yaishe

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Zuhura Othuman ‘Zuchu’ ameomba radhi kwa Watanzania kufuatia maneno aliyotumia kwenye onesho lake la…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Wadau wachangia vifaa sekta ya elimu

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepokea vifaa saidizi vya wanafunzi wenye mahitaji maalumu kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mahakama yaamuru Trump hawezi kuenguliwa

MAHAKAMA ya Juu nchini Marekani imeamua kuwa Colorado haiwezi kumuengua Donald Trump kwenye mchujo wake wa urais wa chama cha…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mshirika wa Trump jela miezi mitano

ALIYEKUWA ofisa mkuu wa fedha wa Shirika la Trump Organization, Allen Weisselberg amekiri makosa ya uwongo na kupewa kifungo cha…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Apple yapigwa faini kwa kukiuka sheria EU

KAMPUNI ya teknolojia ya nchini Marekani ‘Apple’ imetozwa faini ya €1.8bn baada kukiuka sheria za Umoja wa Ulaya ‘EU’. Imeelezwa…

Soma Zaidi »
Back to top button