Na Swaum Katambo,Katavi

Tanzania

Asilimia 50 wananchi Katavi ni watoto

IMEBAINIKA kuwa idadi kubwa ya wananchi waliopo mkoani Katavi asilimia 50 ni watoto. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa…

Soma Zaidi »
Afya

Waondoa bandama kwa kutoboa tundu

HOSPITALI ya Taifa Muhimbli-Mloganzila kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Korea Kusini imeandika historia kwa kuondoa bandama kwa kutumia matundu…

Soma Zaidi »
Afya

Sh bilioni 4 kutibu watoto wenye Selimundu

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 4 kwa ajili ya kuwatibu watoto 20 wa ugonjwa wa selimundu. Hayo yamesemwa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi avunja ukimya waziri kujiuzulu

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kujiuzulu kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Serikali kuanzisha somo uchambuzi wa michezo 

SERIKALI imesema inatarajia kuanzisha somo la uchambuzi wa habari za michezo katika vyuo vinavyofundisha masomo ya uandishi wa habari kama…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi: Mkitaka kujiuzulu waambieni mabosi zenu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi wenye nia ya kujiuzulu kueleza…

Soma Zaidi »
Infographics

Hamilton kujiunga Ferrari

MKALI wa mbio za magari wa Uingereza, Lewis Hamilton ataondoka timu ya Mercedes na kujiunga na Ferrari kwa msimu wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Man City yahamia kwa Alphonso Davies

MANCHESTER City ipo tayari kutoa pauni milioni 80 kuinasa saini ya beki Alfonso Davies kutoka Bayern Munchen ambaye pia Real…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Adidas kutemana mazima na Kanye West

KAMPUNI ya vifaa vya michezo, Adidas inapanga kuuza hisa zilizosalia za viatu vya Yeezy ikielezwa Kanye West hajaonesha ushirikiano kamili…

Soma Zaidi »
Kimataifa

EU wakubaliana kusaidia $54bn Ukraine

MATAIFA yote 27 ya Umoja wa Ulaya yamekubaliana juu ya nyongeza ya msaada wa Euro bilioni 50 ($54bn) kwa Ukraine,…

Soma Zaidi »
Back to top button