Na Ester Takwa

Tanzania

Watuhumiwa 11 wa uganga wanaswa Songwe

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 11 wanaojishuhulisha na uganga bila kibali. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa…

Soma Zaidi »
Afya

Dk Mpango awakemea wanaoficha watoto walemavu

MAKAMU wa Rais, Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuacha tabia ya kuficha watoto wenye ulemavu majumbani na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Sancho ajiunga Dortmund

KLABU ya Borrusia Dortmund imemrudisha kwa mkopo winga wa Man United, Jadon Sancho. Sancho amerejea Bundasliga miaka miwili na nusu…

Soma Zaidi »
Afya

Bugando, GPITG kuboresha huduma za afya kieletroniki

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo jijini Mwanza kwa mara nyingine imeingia mkataba na Kampuni ya Utengenezaji wa Mifumo…

Soma Zaidi »
Tanzania

DCEA yatoa mafunzo Arusha

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa mafunzo kwa asasi za kiraia zinazotoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Uwekezaji wakua kwa asilimia 60 nchini

KITUO Cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimebainisha, kutungwa kwa sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2022 imechagiza ongezeko la usajili wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dier kutua Bayern leo

KIUNGO wa raia wa Uingereza, Eric Dier leo atajiunga na Bayern Munchen kwa dau la pauni milioni 4 akitokea Tottenham…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kocha England aambiwa ana mwaka wa kuishi

KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven Goran Eriksson ameambiwa na madaktari kuwa amebakisha mwaka mmoja wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kituo cha Dakawa chakidhi kuwa urithi wa taifa

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa eneo la Kituo cha Maendeleo Dakawa mkoani Morogoro, limekidhi vigezo vya kuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Cherehani: Jitokezeni uchanguzi serikali za mitaa

WANANCHI wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Mbunge wa Jimbo la…

Soma Zaidi »
Back to top button