MANCHESTER, England

Michezo na Burudani

Bilionea Mwingereza kuinunua Man United

BILIONEA wa Uingereza, Jim Ratcliffe amekubali kununua hisa asilimia 25 za Manchester United kwa takriban Dola bilioni 1.3. Taarifa ya…

Soma Zaidi »
Africa

Mapigano Nigeria, 16 wauawa

WATU 16 wameuawa katika shambulizi Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutokea mapigano kati ya wafugaji na wakulima, taarifa ya mtandao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mpango: Fundisheni watoto uzalendo

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameelekeza kwa wazazi kulea watoto wao vyema, kuwafundisha uzalendo na kufanya kazi kwa bidii…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM yaelekeza ulinzi kwa wabunge

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetoa tamko kwa viongozi wa chama hicho kwenye mikoa na serikali kuwalinda wabunge wa CCM waliopo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shirika lawakumbuka watoto wenye uhitaji Krismas

SHIRIKA la maendeleo ya vijana linalopambana na maambukizi ya HIV (YAAPA) limetoa misaada mbalimbali ya vyakula kwa watoto wenye mahitaji…

Soma Zaidi »
Infographics

Wananchi Chad waunga mkono katiba mpya

WANANCHI wa Chad wamepiga kura kuunga mkono katiba mpya ambayo wakosoaji wanasema itampa nguvu ya kimamlaka ya kiongozi wa kijeshi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mgambo kupewa kipaumbele ulinzi Same

MKUU wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ameutaka uongozi wa halmashauri hiyo na viongozi wengine wa taasisi za umma na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Arsenal amaliza raundi ya kwanza kileleni

RAUNDI ya kwanza ya Ligi Kuu England imekamilika wakati Arsenal ikiwa juu ya msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 40.…

Soma Zaidi »
Jamii

Wananchi watahadharishwa athari za mvua Mtwara

WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya uwepo wa mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali. Akizungumza leo mkoani Mtwara, Mkuu…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Baraza UN kupigia kura azimio la kibinadamu Gaza

WANACHAMA 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanatarajiwa kupigia kura Azimio la Ijumaa kushughulikia mzozo wa kibinadamu…

Soma Zaidi »
Back to top button